Umuhimu Wa Kuweka Malengo.

 Kuna mtu aliwahi kusema " Wishes are just wishes if goals are not set." // "Kutamani kutabaki kutamani kama malengo hayatowe kwa." 


Watu wengi wamekuwa wakitamani kufika mahali fulani inawezekana ikawa ni kikazi, kimaisha, kipesa, kimahusiano n.k lakini ukweli ni kwamba idadi kubwa ya watu hawa fikii kule ambapo wanatamani kufika sio kwasababu hawawezi ila ni kutokana na kukosa njia au muelekeo wa kufika kule wanapotaka. Malengo ni kitu muhimu sana na kila mtu ni muhimu sana awe amejiwekea malengo ya kufika sehemu fulani. Malengo yatakuwezesha na kukupa njia na hamasa ya kufikia malengo yako. Kama hutakuwa na malengo basi kila sehemu utakayo fika katika mipango yako utaona ni sehemu sawa lakini kumbe ulitakiwa kufika mbali zaidi ya hapo. Anza sasa kuweka malengo katika mipango yako. Kumbuka Inawezekana.

Comments