"Do not think that people are of a similar nature. Rather, they differ tremendously." // "Usifikiri watu wako sawa sawa. Isipokuwa, wanatofautiana sana."
Katika hatua mbalimbali tunakutana na watu wa aina tofauti tofauti. Kila mtu huwa na tabia yake halisi ambayo anatoka nayo kutoka kwenye jamii inayo mzunguka. Tabia ya mtu mmoja inaweza kutofautiana sana na tabia ya mtu mwengine hivyo kila unayekutana naye anaweza kuwa na tabia tofauti na yule wa mwanzo ambaye umekutana naye. Kwa hivyo ni muhimu sana kuwa makini na watu unao kutana nao na namna unavyowasiliana nao maana njia moja ya mawasiliano uliyotumia kwa mtu mmoja inaweza kuwa tofauti kwa mtu mwengine. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment