"Let one of your first decisions be to KEEP A CLOSED MOUTH AND OPEN EARS AND EYES." // "Acha uwamuzi wako wa kwanza kuwa funga mdomo wako na fungua masikio na macho yako."
Katika maisha yako kuna mambo mengi sana utakutana nayo yapoyatakayo kuumiza lakini kuna mengine yatakufanya ukuwe zaidi. Ni muhimu kuwa na tabia ya kusikiliza kuliko kuongea sana na hiyo haimanishi ya kuwa kila unachosikiza basi ni lazima ukifanyie kazi. Kuna msemo unasema "Katika unayo ya ongea kuna watu watakuona unajua na wengine wataona hujui kwasababu wamekuzidi uwezo." Maisha yako yamezungukwa na vitu vingi sana vengine ni vizuri na vengine si vizuri. Ni muhimu kuchagua na kuchukua yaliyo mazuri katika maisha yako. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment