"Our ability to capture people’s hearts and win their love brings us great happiness in life." // "Uwezo wetu wa kushinda mioyo ya watu na mapenzi yao yanaleta amani kubwa kwenye maisha yetu."
Katika maisha yetu tunawatu ambao wanatuzunguka kila siku, wapo ambao wanatupenda na wapo ambao hawatupendi wengine hawatupendi bila sababu yoyote ile. Katika maisha yako wale walio na mapenzi na wewe ni watu muhimu sana katika maisha yako na ni muhimu pia kurudisha mapenzi kwao. Ni muhimu kuishi vizuri na wanaokupenda ila haimanishi wawe ni chanzo cha wewe kuanguka katika maisha yako. Kila siku jiulize je mahusiano yangu na huyu mtu yanaendeleza maisha yangu kuwa bora au yanafanya maisha yangu kuwa ya chini kabisa. Ningependa kujua hapo kwenye comment namna gani unaishi na watu wanakupenda. Usisahau kushare na marafiki zako ISA APP ili na wao wapate kubadilisha maisha yao tunasema "Mafanikio Bora Huanza Kwa Elimu Bora." Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment