"There is no such possibility as SOMETHING FOR NOTHING." / "Hakuna uwezekano wa kitu bila kitu."
Katika maisha kila mtu ana ndoto ambayo yeye anaisimamia na kuiamini. Lakini pia wapo ambao wanaamini ya kuwa ndoto zao haziwezi kutumia kwasababu ya mambo mbalimbali, wengine wanataka ndoto zao zitimie lakini hawataki kufanya juhudi za kufikia ndoto. Leo nataka ni kwambie ya kuwa kama hutafanya yale yanayotakikana ili ndoto yako itimie basi ndoto yako haita timia. Ni juu yako kupigania ndoto ya maisha yako na kuamini katika ndoto hiyo kwa kufata hatua za kwenda kwenye ndoto yako. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment