"The best way to observe what your potential competitors are doing is to become a customer. Buy as much as you can of what they offer." / "Njia bora ya kumuangalia mshindani wako anafanya nini ni kuwa mteja wake. Nunua kadiri ya uwezo wako katika anacho kifanya."
Mshindani wako si adui wako bali mshindani ni mtu anayetoa huduma au bidhaa ambayo wewe pia unaitoa. Watu wengi wanaona mshindani wa kibiashara ni uadui hawajui ya kuwa unaweza kujifunza mambo mengi wakati wa kuanzisha biashara kutoka kwa mshindani mzuri. Ushindani ni jambo zuri kwani kupitia ushindani ndipo mtu hukua zaidi katika biashara yake kwa kuongeza ubunifu ili aweze kupambana na ushindani uliopo. Kukua kibiashara mara nyengine husababishwa na ushindani mkubwa ambao mtu mwengine anao katika biashara. Anza sasa kufikiria ushindani kama fursa ya wewe kukua na kufanya vizuri. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment