Kwanini Unatakiwa Uwe Na Hamasa Ya Ndani!!!

"Stephen Covey says : "Motivation is a fire from within. If someone else tries to light that fire under you, chances are it will burn very briefly." // "Stephen Covey anasema : "Hamasa ni moto wa ndani. Kama mtu anatakiwa awashe moto chini yako, kuna uwezekano moto huu utawaka kwa muda mfupi."
Hamasa ni moja ya vitu vya muhimu katika maisha yako. Hamasa ndio inayokufanya wewe uanze kufanya jambo unalotaka kufanya. Kama mtu hutakuwa na hamasa basi kuna nafasi kubwa sana ya kukosa nguvu ya kufanya kazi unayofanya. Bila kuwa na hamasa nzuri kuna uwezekano wa kokosa hamasa unayotakiwa kuwa nayo. Jipe hamasa kabla hujapewa hamasa na itakusaidia kufanya kazi ukiwa na nguvu zaidi. Kumbuka Inawezekana.

Comments