"When you climb a mountain, look to the top and not to the rocks that surround you. Make sure of where you step as you climb, and do not leap in case you loose your footing." / "Unapopanda mlima, angalia juu na sio miamba inayokuzunguka. Kuwa makini unapokanyaga pindi unapopanda, na usirukeruke pindi unapoteleza."
Katika maisha utapanda vilima na mabonde mengi sana. Kuna wakati unaweza kuwa juu na kuna wakati unaweza kuwa chini. Kwenye maisha yako siku zote angalia juu ya ule mlima wa malengo na ndoto zako unazopanda na kuwa makini sana kwenye kila hatua unayochukua na pindi unapokosea na kuanguka basi usikate tamaa usiangalie watu wanaokuzunguka wanasema nini kuhusu wewe kwani ndoto yako na zao nitofauti. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment