Kuna msemo unasema katika maisha jaribu kuwa kama nyuki mwenye kufata asali na usiwe kama nzi mwenye kufata vidonda. Msemo huu una maana kubwa sana katika maisha yako. Watu wengi wamekuwa ni watu ambao kama nzi katika maisha yao watu hawa ni watu ambao wana angalia mabaya tu katika maisha ya mtu wala hawaoni mazuri katika maisha ya mtu mwengine.
Watu hawa huishi kwa uzuni katika maisha yao. Ila watu wanaoishi kama nyuki wao huona kila jema katika wanaadamu wenzao wanaona mazuri ya wanadamu wenzao na hupenda kusaidia wengine na hawa ndio watu wanaokuja kufanikiwa. #Inawezekana

Comments
Post a Comment