Jinsi Ya Kupata Upendo Wa Watu!!!

"Mafanikio Sio Kujua Wengine Wanapenda Nini Bali Kupata Mbinu Ya Kujua Wao Wanapenda Nini." Mafanikio sio kujaribu kumfurahisha kila mtu katika maisha yako kwani kujaribu kumridhisha kila mtu ndio chanzo cha wewe kufeli katika maisha.
Usijaribu kumfurahisha kila mtu kwani kila mtu ana malengo na ndoto zake ambazo ni tofauti na zako wewe. Katika maisha yako unaweza kupata upendo wa watu wengine kwa kujua wao wanapenda nini katika maisha yao na kutumia wanavyopenda kupata upendo wao. Mfano kama mtu anapenda kula chakula fulani basi unaweza kutumia wakati wako na kuenda kumpatia chakula anachopenda na kupata upendo wao.

Comments