"Thoughts without action are ineffective." // "Mawazo bila vitendo havifanyi kazi."
Kila mtu ana akili na mawazo tofauti kuhusu maisha. Katika mwaka mmoja unaweza ukawaza mawazo mengi sana lakini wazo moja tu linaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Kuto kufanyia kazi mawazo yako ndio chanzo cha wewe kukosa mafanikio ambayo ungeyapata kama ungeamua kufanyia kazi mawazo yako. Usihofu wazo lako lina ukubwa wa namna gani lakini kwenye hilo wazo lako unaweza ukaanza na kidogo kisha ukakuza hicho kidogo kuwa kikubwa zaidi. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment