"Whoever best describes the problem is the one most likely to solve it.
—DAN ROAM, AUTHOR OF THE BACK OF THE NAPKIN" // "Yeyote anayeweza kulielezea tatizo vizuri ndiye ambaye anaweza kulitatua vizuri."
Kama umewahi kuwa ni mtu wa kujiuliza swali fursa zipo wapi au fursa ni mambo gani? Ukweli ni kwamba sehemu yenye fursa nyingi ni sehemu yenye malalamiko au changamoto nyingi. Penye changamoto ndipo kwenye fursa, mfano kama sehemu unayokaa au kuishi kuna changamoto fulani ukileta utatuzi wa changamoto ile basi utatuzi wako una badilika na kuwa fursa na baadaye kukuletea faida wewe kama biashara. Anza sasa kutatua changamoto katika jamii inayokuzunguka na ulete matatuzi ya changamoto zao. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment