Kuna msemo unasema "Purpose is for others and passion is for you." // "Dhumuni lako ni la watu wengine na unachokipenda ni kwaajili yako."
Katika maisha yako umewahi kukaa chini siku moja na kujiuliza wewe ni nani? Una nguvu gani ambayo ina kutafautisha wewe pamoja na wengine au wewe ni mtu ambaye unafanya vitu kwa mazoea. Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watu wapo hapa duniani lakini hawajui kitu gani wamekuja kufanya katika dunia hii. Kupata pesa sio jambo la kwanza ambalo limekuleta duniani. Kwenye kitabu cha "Think And Grow Rich" alicho andika Napoleon Hill alisema kuna mambo matatu ambayo mtu anatakiwa afanye ili aweze kufanikiwa alisema 1.) Purpose / Dhumuni 2.) Burning desire / Hamu iku unguzayo 3.) Persistance / Hali ya kuendelea hata mambo yanapokuwa magumu. Ukiangalia mambo hayo matatu utakuja kugundua ya kwamba watu wengi walifanikiwa wana vitu hivi vitatu. Ukijitathimi hapo ulipo je vitu hivi vitatu unavyo? na kama huna utafanya nini ili uvipate? Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment