Umuhimu Wa Kumjua Mtu Vizuri.

"Knowing the personality of the one you are dealing with helps you earn his love." // "Kujua mtu unaye dili naye ni mtu wa namna gani itakusaidia kupata upendo wake."
Katika maisha yako ya kila siku kuna watu mengi sana ambao unakutana nao na wengine unaishi nao katika mazingira yako ya kazi, nyumbani au hata masomoni. Ulishawahi kujiuliza ninaweza kufanya nini iliniweze kuelewana na watu wangu wa karibu vizuri ili kazi zangu au masomo yangu yaende vizuri. Ukweli ni kwamba huwezi kupata upendo wa watu wengine pasi na kujua watu unaoishi nao ni watu wa namna gani. Mfano kama mtu unayefanya naye kazi ni mtu anayependa kufanya kazi kwa wakati basi ili upate upendo wake huna budi kufanya jitihada za kufanya kazi kwa wakati ili upate upendo wake. Kumbuka Inawezekana.

Comments