"A child is like soft clay that we shape according to our treat-ment of it." / "Mototo ni kama mchanga laini wa mfinyanzi ambao tunaotengeneza kutokana na kuhudumia kwake."
Mtoto ni mtu ambaye kama unataka awe vile wewe unataka basi huna budi kuishi naye kwa kumjenga na sikumbomoa. Mtoto ana jengwa na wazazi wake na watu wanao mzunguka. Ukita mtoto awe na tabia na maadili mazuri basi huna budi kumfanya mtoto wako awe na maadili mazuri kupitia wewe mzazi wake. Mzazi anatakiwa awe ni kiingizo chema kwa mtoto wake. Mzazi unatakiwa uwe mfano wa kwanza kwa mtoto wako ili mtoto aweze kujifunza kutoka kwako. Hakikisha mtoto wako ana watu wazuri ambao wanamzunguka kwani watu wanaomzunguka kama marafiki wanaweza kumjenga mtoto au kumbomoa. Kumbuka Inawezekana. Share na marafiki zako ISA APP na wao waweze kujifunza kama wewe.

Comments
Post a Comment