Jinsi Ya Kuishi Na Mke Vizuri!!!

"A woman can be patient with her husband’s poverty, unat-tractiveness and busy schedule, but she cannot be patient with his rude behaviour." // "Mwanamke anaweza kuwa na subira juu ya umaskini wa mumewe, kutovutia kwake na ratiba nguma, lakini hawezi kuwa na subira juu ya tabia zake mbaya."
Mke anaweza kuvumilia mambo mengi sana juu ya mume wake lakini mwanamke huyu huyu hawezi kuvumilia tabia mbaya ambazo mume anazo. Ili uweze kuishi na mke wako vizuri basi huna budi kukaa naye katika namna ambayo yeye atafurahi na kuwa na amani na wewe. Usimfanye mke wako akawa hana furaha tena kuishi na wewe kwasababu una mfanyia mambo ambayo simazuri kwa wanandoa kufanyiana. Wanandoa wakiishi vizuri pamoja basi wanauwezo mkubwa sana wa kufanikiwa katika maisha yao pamoja na familia zao. Kumbuka Inawezekana.

Comments