"The best preacher is the one who preaches with his actions before his words." / "Mnenaje mzuri ni yule anaye nena na matendo yake kabla ya maneno yake."
Je umewahi kujiuliza swali ni mara ngapi umewahi kuongea vitu ambavyo wewe mwenye huvifanyi? Inaweza kuwa mara nyingi sana, ukweli ni kwamba wengi wetu yale tunayoyaongea basi huwa hatuyafanyi kazi. Ukifanya uchunguzi wako binafsi utakuja kujua ya kwamba idadi ya watu wengi huongea wasio ya fanya. Lakini si wote wanaongea huwa hawa fanyi wanayoongea hapana, wapo wanao ongea wanayo yafanya. Ni vizuri mtu kutenda anayo yaongea na kuwa mfano wa yale anayo yaongea kwa kuyaweka kwenye vitendo. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment