Steve Jobs alisema "Your Time Is Limited Don't Waste It Living Somebody's Else Life." // "Muda Wako Unamwisho Usiopoteze Kwa Kuishi Maisha Ya Mtu Mwengine."
Katika maisha yako kuna watu watakuja na kukupa maoni mengi sana. Kuna watakao kupa maoni yaliyokuwa mazuri na wengine watakupa maoni yasiyokuwa mazuri. Kuna mtu aliwahi kusema "Maoni ndio bidhaa ya bei rahisi duniani." Akimaanisha ya kuwa maoni unayopata kutoka kwa watu mbalimbali yanaweza kutoka kwa watu ambao wao hawana uzowefo kabisa na kitu wanacho kizungumza. Kwa hiyo ni muhimu sana kuchuja kila maoni unayopokea kwa watu ili kujua lipi ni sahihi na lipi sisahihi. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment