Tengeneza Taa Kwenye Maisha Yako!!!

"Instead of casing the darkness try to fix lamp." // "Badala Ya Kulani Giza Tengeneza Taa."   
Maisha yako yanaweza kuwa na giza ambalo linaweza kukufanya ukose muelekeo wa kuelekea katika misha yako. Kuna wakati unaweza kuona umepoteza dira ya maisha yako. Kumbuka katika kila hatua ya maisha yako utakutana na changamoto mbalimbali ambazo zitakufanya uone maisha yako hayana thamani tena, wakati huo ndio wakati wa kusimama na kupambana ili ufikie malengo uliyojiwekea katika miasha yako. Kwani kukata tamaa hapata kufikisha kule unapotaka kwenda. Kumbuka Inawezekana.

Comments