"One must recognize opportunities, and act upon them." // "Mtu anatakiwa atambue Fursa, na azikimbilie."
Katika sehemu inayokuzunguka kuna fursa nyingi sana ambazo kama utaamua kuzitumia na kuzifanyia kazi basi zinaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Matatizo au changamoto zilizo karibu na wewe ndizo unazotakiwa kuzitatua na kutengeneza kipato kupitia utatuzi wako. Anza sasa na ulichonacho hapo ulipo na tumia vyote vilivyo karibu na wewe. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment