"Your skills of dealing with others determine how they deal with you." // "Mbinu zako za kuishi na wengine ndizo zitakazo amua wao wataishi vipi na wewe."
Kwenye maisha yako unakutana na watu mbalimbali na kila mtu unayekutana naye anatabia tofauti na ile uliyonayo wewe. Ili ushi na watu walio tofauti na wewe basi huna budi bali ni kutengeneza mbinu za namna ya kuishi na watu hawa kwa ufasaha zaidi. Katika maisha yako kuna watu huna budi kuwa kimbia kutokana na wao kukosa maelewano na wewe. Kukaa nao mbali kutakusaidia wewe kuepuka ugomvi na mambo mengi. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment