"Knowing what’s critically important in every business is the first step in making good business decisions." // "Kujua kipi cha muhimu katika biashara ndio hatua ya kwanza ya kufanya maamuzi sahihi."
Katika biashara yoyote ile ili ufanye maamuzi lazima uwe unafanya maamuzi sahihi na mazuri katika biashara yako. Kutokufanya maamuzi sahihi kutapelekea biashara yako kufa na kupotea katika soko. Maamuzi sahihi yanasaidia kuimarisha biashara yako na kuifanya biashara isimame katika usahihi. Jua kipi cha muhimu katika kila sehemu ya biashara yako itasaidia kufanya maamuzi sahihi kwenye biashara yako. Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment