"Your Skills Of Dealing With Others Determine How They Will Deal With You" // "Mbinu Zako Za Jinsi Ya Kukaa Na Wengine Ndizo Zitakazo Amua Jinsi Gani Wata Kaa Na Wewe."
Watu wengi wanakuwa na maswali mbalimbali katika maisha yao wengine wanaweza kujiuliza "Hivi Ni Kwanini Mapato Yangu Haya Ongezeki?" au "Ni Kwasababu Gani Na Poteza Muda Mwingi Katika Kuangalia Television?".Kujiuliza maswali kama haya ni kawaida kwa kila mtu kwani unajiuliza ili upate suluhisho la tatizo au swali lako ambalo unajiuliza.Kama unajiuliza ni fanye kitu gani ili ni fanikiwe katika jambo lango basi minya katika sehemu hii na usome post utakayoikuta.Kama wewe ulikuwa unajiuliza swali "Kwanini Watu Hawa Taki Kufanya Jambo Fulani Ni Kiwaambia Au Ni Kiwaelekeza?" au kama unaswali lengine linaloshabihiana na hili basi naomba ni kujuze ya kuwa tatizo halipo kwenye ushauri unaotoa au maagizo unayotoa bali tatizo lipo kwenye namna ya unavyoishi au ulivyomfata huyo na jinsi gani wewe unacheza sehemu gani kwa huyo mtu.Naomba utambue ya kuwa sio kila mtu atakubali ushauri unaotoa au maelekezo unayotoa kwasababu kila binaadamu yuko tofauti na mwengine.Na mara nyingi katika maisha usiwe ni mtu ambaye unapenda sana matarajio ya kitu fulani,kwani mara nyingi matarajio ndiyo yanayoumiza katika mambo mbalimbali.Kuna mtu aliwahi kusema "Don’t Blame People For Disappointing You, Blame Yourself For Expecting Too Much From Them." // "Usiwalaumu Watu Kwa Kukuvunja Moyo,Jilaumu Wewe Mwenyewe Kwa kuwa Na Matarajio Kwao."So siku zote jaribu kuwa mtu ambaye hauna matarajio makubwa katika mambo mbalimbali kama ukifanya kitu wewe fanya kwasababu umeamua kufanya sio kwasababu na wewe unatarajia utafanyiwa,kwasababu mara nyingi sisi binadamu tunasahau mambo umbayo tuliyofanyiwa.Kama unataka watu waku heshimu basi jaribu na wewe kuwa heshimu na wao.Kama mwanzo tulivyosema mbinu zako za kudeal na wegine ndizo zitakazo fanya wao waamue jinsi gani watadeal na wewe.Tuchukulie mfano wa mtu anayefanya kazi katika ofisi fulani,ila mtu huyu hupenda sana kugombana na wafanya kazi wenzake na kuishia kutokuwa na mahusiano mazuri na wafanya kazi wenzake,mtu huyu anagombana na wafanya kazi wenzake kwasababu yeye hajui au hana mbinu ambazo zitamuongoza jinsi gani aishi na wenzake vizuri kazini.Kujua ni namna gani ya kukaa na watu fulani au ni kwa namna gani ya kudeal na watu fulani fulani ni mbinu ambayo ni muhimu katika maisha yako ya kila siku hata katika kufanya biashara yako vizuri.Kama hauta jua mbinu za jinsi ya kudeal na wateja wako basi biashara yako ina uwezo wa kuanguka kwasababu hujui ni jinsi gani utakaa na kudumu na wateja wako ili wasiondoke katika biashara yako na uongeze mapato yako."If You Want To Be A Better Communicator Then Try To Be The Best Listener." // "Kama Unataka Kuwa Mzungumzaji Mzuri Basi Jaribu Kuwa Msikilizaji Bora."
Watu wengi wanatamani wawe wazungumzaji wazuri katika maeneo mbalimbali katika maisha yao ya kila siku ila hawa jui ya kuwa ili uwe mzungumzaji mzuri unatakiwa uwe mskilizaji mzuri.Unaweza ukawa na swali "Kwanini niwemsikilizaji mzuri wakati mimi ndiye ninayeongea?" ukweli ni kwamba hautajua cha kuongea kama huta msikiliza unayetaka kuongea naye ana hitaji nini kwa muda huo.Mfano mtu unayefanya biashara ya kuuza nguo ili atoe nguo nzuri itakayo mpendeza mteja wake ni lazima kwanza ajue mteja wake anapenda bidhaa za aina gani,hawezi kutoa bidhaa za viatu kwa mteja ambaye haitaji viatu kwa muda huo.Hii ndio sababu ya umuhimu wa kujua jinsi gani ya kuwasiliana (communicate) na watu ni jambo la muhimu katika maisha ya kila siku.Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment