"Instead Of Cursing The Darkness Try To Fix The Lamp." // "Badala Ya Kulani Giza Jaribu Kutengeneza Taa." Katika maisha kuna mambo mengi huwa yanatokea kuna mazuri na mengine simazuri.Kuna watu katika maisha wao wanatabia moja ambayo si nzuri kabisa na tabia hii inaweza kufanya watu wakakukimbia,tabia hii ni tabia ya kulalamika katika kila jambo.
Mtu mwenye tabia ya kulalamika huwa mara nyingi ni mtu mwenye kuwapa lawama watu wengine.Mtu huyu kila jambo lake lisipoenda sawa kama anavyotaka yeye basi huwatupia lawama watu wengine ambao hawausiki kabisa katika jambo lile.Mfano anaweza kusema (serikali imebana sana hamna hata pesa) mtu huyu analaumu serikali kwa kubana pesa wakati yeye anachotakiwa, ni kufanya kazi kwa bidii huku akimuomba Mungu kwa uwezo wake pesa itapatikana, lakini yeye anabaki tu kulalamika kila siku.Mfano mwengine mtu anaweza kulalamika nyumbani kwake hakujapikwa chakula wakati yeye ndiye ambaye hakuwacha pesa ya matumizi kwa ajili ya watu kupika.Leo nitakupa sababu tatu (3) za kwanini unatakiwa uache kulalamika.
Sababu Tatu 3 Kwanini Unatakiwa Kuacha Kulalamika.
1. The world owes you nothing (Dunia Haikudai Chochote):Katika maisha mtu anaweza kulalamika kwasababu tu amekosa kitu fulani au jambo fulani ambalo yeye alikuwa analitaka amelikosa.Muda huu mtu hujiona kama vile ana deni juu ya kile kitu alichokikosa, atanza kuwa lalamikia watu wengine kwanini huja fanya kitu fulani? au kwanini huja sema kitu fulani?.Hapa mtu hujiona kama vile ana deni juu ya kile kitu alichokikosa.Ila ikifikia hatua hii unatakiwa ujiulize kwanini mimi siku kumbusha afanye kile kitu? au kwani mtu yule asahau? au unaweza ukaamua ni kwa jinsi gani unaweza ukakifanya kile kitu tena ili uweze kulipa lile deni ambalo unalihisi bado huja lilipa.
2. You are in charge of your own life (Unahusika Na Maisha Yako):Maisha yako wewe ndiye unayeamua jinsi gani utayaongoza ni either uyaongoze vizuri ama uyaongoze vibaya.Katika maisha ukiona kitu fulani hakiko sawa jaribu kukirekebisha na kukiweka sawa ili kikae vizuri badala ya kukaa na kulalamika kila saa kwani kulalamika kwako hakuta badilisha kitu juu ya kile unacho kilalamikia kila siku ni lazima uamke na ukifanyie kazi.
3. You can’t be a leader if you behave like a victim (Huwezi Kuwa Kiongozi Kama Utakuwa Kama Muathirika):Katika maisha yako kama unataka kuwa kiongozi wa mambo yako basi jaribu kuwa ni kiongozi kuliko kuwa muathirika wa jambo lako.Usiwe ni mtu ambaye kila kitu kwako wewe ni lawama,jaribu kuwa mstari wa mbele katika mambo yako pigania malengo yako usilalamike kwanini mtu fulani anakusema hivi, kwasababu wewe mwenyewe ndiye unayejua ni wapi unataka kwenda na utafika vipi kule unapotaka kwenda.
Kumbuka Inawezekana.

Comments
Post a Comment