Mambo 7 Ambayo Unaweza Kuwa Nayo Yanayo Kufanya Uwe Mtu Wa Kuhairisha Mambo.

·Kuhairisha mambo ndio kifo cha mafanikio.
.Hisia nyingi za kuhairisha zinatokana na uwoga wetu sisi wenyewe.
.Mara nyingi huwa tunakwama katika mambo yetu sio kwasababu tumekosa hamasa, bali ni kwasababu ya fikra zinazo dunda katika vichwa vyetu.
.Mzizi mkuu wa tabia ya   "kuhairisha"  unatokana na sisi wenyewe.

Excuse1:" doesn't matter." (Haijalishi)

.Hata kama fikra zozote zinazozunguka kichwa chako,kuna muda tunaweka mambo pembeni kwasababu kinaonekana kama si cha muhimu.
.Njia moja ya pekee ya kuepuka kuhairisha mambo ni kufanya maamuzi magumu katika maisha yako hata kuacha vitu ambavyo mwanzoni vilionekana kama vya muhimu.

Excuse 2:"I need to do _______ first" (Nataka kufanya_________ kwanza)


.Mambo mengine yanaachwa kwasababu kuna kazi inatakiwa kukamilishwa kwanza kabla ya kitu chengine chochote.
.Unaweza daima kuacha hudhuru huu kwa kujenga tabia ya kutambua kila jambo unalotaka kufanya.Hapa ni kuvunja kila jambo katika matendo madogo madogo ambayo unaweza kufanya kila siku.

Excuse 3:"I need more information to get started." (Ninahitaji habari zaidi ili nianze)

.Kutokujua kufanya kitu kamwe isiwe sababu ya wewe kuepuka jambo.

Excuse 4:"I feel overwhelmed and have too much to do" (Ninahisi kuelewa na nina mengi ya kufanya)

.Kuhisi kuelemewa kunaweza kuondoshwa kwa kufocus katika jambo la muhimu na kuondoa mengine.

Excuse 5:"I don't have time right now" (Sina muda kwa sasa)

.Kama ukiendelea kuchelewesha mpaka "siku fulani".Kuna uwezo wa wewe kuto kufanya hilo jambo.

Excuse 6:"I keep forgetting to do it" (Nimesahau kufanya)

.Hata hivyo ukiwa ni mtu wa kusahau sana ni ishara ya kuwa hutaki kufanya hilo jambo
.Labda hulioni kuwa nila muhimu.Labda unaogopa kufeli.Au hautumii mbinu sahihi ya kupanga mambo.
.Muhimu ni kuwa "kusahau" sio sababu ya wewe kuhairisha.Kuna mda unatakiwa ufanye maamuzi ya kuanza au do" (Ninahisi kuelewa na  jambo.

Excuse 7:"I don't feel like doing it." (Sijisikii kulifanya)

.Siri ni kujua mda gani unaanza kufanya jambo na muda gani unatakiwa uache.
.Mara nyingi tunachanganya haya mawili kwa kuepuka mambo ambayo yana positive long-term impact katika maisha yetu.
.Hii inamaanisha ya kuwa kama hutaki kufanya jambo isiwe ni sababu ya peke ya kuliweka pembeni.
.Suluhisho bora ni ku analyze kwa nini unaliweka pembeni jambo hilo uone kama ni ishara ya tatizo kubwa. #Inawezekana

Comments