Umuhimu Wa Kuishi Na Watu Vizuri!!!

"Do not earn wealth and lose people, for earning people is a way to earning wealth." // "Usipate mali kisha ukapoteza watu kwani njia ya kupata mali ni kwa kupata watu." 
Katika maisha unayoishi kuna watu ambao wanakuzunguka wanaweza kuwa ndugu, marafiki au majirani. Ili uweze kuwa nao karibu basi ni vizuri uishi nao kwa wema kwani kwa kufanya hivyo ndivyo utaweza kupata upendo wao nao kuwa na karibu. Kumubuka #Inawezekana.

Comments