"The hero is the one who goes beyond his ability to improve his skills, until he becomes able to improve, and perhaps even alter, the skills of others." // "Shujaa ni yule ambaye anaenda zaidi ya uwezo wako kuboresha uwezo wake, hadi anakuwa na uwezo wa kuboresha na pia kubadilisha, tabia za wengine."
Katika hali yoyote ile unayopitia ya kimaisha siku zote jaribu kuongeza mbinu katika maisha yako ambazo zitakusaidia wewe katika maisha yako yote. Mbinu hizi zinaweza kuwa za kimaisha, biashara au tabia yako. Maboresho ya mbinu zako zinaweza kubadilisha kabisa maisha yako. Hata kama huna uwezo wa kwenda shule unaweza kupata maarifa katika simu yako au watu unao wa amini katika maisha yako.

Comments
Post a Comment